Finnally Anto Newboy And Barry Skies Cheza Nami Lyrics Leaked!!!!
⚜CHEZA NAMI OFFICIAL AUDIO⚜
AUDIO : MAEFAMM MUSIC
Antoh Newboy ft Barryskies
Yeah, Barryskies Newboy
cheza nami Kwenye beat ya omae
(Maefamm music)
Mi napenda gal unavyocheza
Mi napenda gal unavyokata
Mi napenda gal unavyochezaa
Unavyokataa ×2
Verse 1
Sema unachotaka beiby ntakupa
Ninapenda unavyodance bila pupa
Nipe syke ndo mistari ziwe tight
Ziwe tight kama skin tight, skin tight
Nkiget kwenye floor
Ninasaka ule dem amevaa booty short
Anadance so nice gal
Anadance so hot
Inabidi namshow gal
Mi napenda gal unavyo roteti
Ukinipa walai mi si forgeti
Gal
Vile unashake gal kwenye dancefloor
Unafanya niseme gal nmedata
Give it to me
Give it to me
Shake it for me
Shake it for me
Shake it for me
All the ladies in the house
Lemmi see you jump up
Lemmi see you wine up
Lemmi see you.........
Download it on Mdundo
ChorusMi napenda gal unavyocheza
Mi napenda gal unavyokata
Mi napenda gal unavyochezaa
Unavyokataa ×2
Verse 2 ( Barryskies)
Ninapenda sana vile unavyokata
Ni yule kijana yule wa kung'ata
Infact kwanza muniite matter
Beby wajua kwanza nakudata
Wacha wabonge mi ntawakata
Na wajue kwanza we ndo samantha
Wanitambue mimi kama canter
Na wasijaribu kutufwatafwata
Ju story hii ya kupatapata
Nekee wewe oka haaha
Niudu mimi ndio moha
Wacha wabonge na kucheka ahahaha!
But beby mi hupenda unavyokata ukikatakata we humurder
Na uwalenge wale antirada
Wacha wakuite mc Mogan
Chorus
Mi napenda gal unavyocheza
Mi napenda gal unavyokata
Mi napenda gal unavyochezaaa
Unavyokataa ×2
Verse 3 (Antoh Newboy)
Hey gal
We mhot kama jua ya december
Ninapenda vile gal umebeba
Aki walai joh unatesa
Unatesa, unatesa, unatesa gal kuliko pesa
Nikiwa nawe mausiku nitakesha
Usi mind gal mi sitakuacha
Tena kwangu gal we ndo pacha
Ntakupenda kwenye shida au raha
Kama plane ninafly,usiseme najidai
Tutaparty evryday
Ata iwe holiday
Ata iwe birthday
Tunahustle downtown
Tunaparty uptown
Niko dope kama dope dealer yeah
Usitry kunikatsia ahh!
Usitry kunikatsiaaaa
Mi napenda gal unavyocheza
Mi napenda gal unavyokata
Mi napenda gal unavyochezaa
Unavyokataa ×2
Mamaa
Aiii unavyokata mama aahh
Unavyocheza eeh eehh. ahhh
Unavyocheza
Aahh Unavyokata
Aahh. Unavyo cheza mamaaa eeeh ahhhhhh!
©Antoh Newboy ft Barryskies
Fb Anto newboy
Anto Newboy Ig
Twitter @the antoh
Barry skies fb
Barryskies ig
Post a Comment